×

Hapo akasema yule aliye okoka katika wale wawili akakumbuka baada ya muda: 12:45 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yusuf ⮕ (12:45) ayat 45 in Swahili

12:45 Surah Yusuf ayat 45 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 45 - يُوسُف - Page - Juz 12

﴿وَقَالَ ٱلَّذِي نَجَا مِنۡهُمَا وَٱدَّكَرَ بَعۡدَ أُمَّةٍ أَنَا۠ أُنَبِّئُكُم بِتَأۡوِيلِهِۦ فَأَرۡسِلُونِ ﴾
[يُوسُف: 45]

Hapo akasema yule aliye okoka katika wale wawili akakumbuka baada ya muda: Mimi nitakwambieni tafsiri yake. Basi nitumeni

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وقال الذي نجا منهما وادكر بعد أمة أنا أنبئكم بتأويله فأرسلون, باللغة السواحيلية

﴿وقال الذي نجا منهما وادكر بعد أمة أنا أنبئكم بتأويله فأرسلون﴾ [يُوسُف: 45]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hapo akasema yule aliyeokoka na kuuawa kati ya marafiki wawili wa Yūsuf ndani ya jela, na akakumbuka habari ya Yūsuf baada ya muda kupita, «Mimi nitawapa habari ya tafsiri ya ndoto hii. Nitumeni kwa Yūsuf nipate kuwaletea uaguzi wake.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek