Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 48 - يُوسُف - Page - Juz 12
﴿ثُمَّ يَأۡتِي مِنۢ بَعۡدِ ذَٰلِكَ سَبۡعٞ شِدَادٞ يَأۡكُلۡنَ مَا قَدَّمۡتُمۡ لَهُنَّ إِلَّا قَلِيلٗا مِّمَّا تُحۡصِنُونَ ﴾
[يُوسُف: 48]
﴿ثم يأتي من بعد ذلك سبع شداد يأكلن ما قدمتم لهن إلا﴾ [يُوسُف: 48]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Kisha itakuja, baada ya myaka ya neema, myaka yenye chaka kikali. Watu wa wakati huu watakula chakula mlichowahifadhia hapo nyuma, isipokuwa kichache mtakachokihifadhi na kukiweka akiba kiwe ni mbegu za kupandia mimea |