×

Kisha baada ya haya utakuja mwaka ambao katika mwaka huo watu watasaidiwa, 12:49 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yusuf ⮕ (12:49) ayat 49 in Swahili

12:49 Surah Yusuf ayat 49 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 49 - يُوسُف - Page - Juz 12

﴿ثُمَّ يَأۡتِي مِنۢ بَعۡدِ ذَٰلِكَ عَامٞ فِيهِ يُغَاثُ ٱلنَّاسُ وَفِيهِ يَعۡصِرُونَ ﴾
[يُوسُف: 49]

Kisha baada ya haya utakuja mwaka ambao katika mwaka huo watu watasaidiwa, na watakamua

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ثم يأتي من بعد ذلك عام فيه يغاث الناس وفيه يعصرون, باللغة السواحيلية

﴿ثم يأتي من بعد ذلك عام فيه يغاث الناس وفيه يعصرون﴾ [يُوسُف: 49]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
«Kisha utakuja, baada ya myaka hii ya chaka, mwaka ambapo watu watanyeshezewa mvua, na hivyo basi Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, Awaondolee shida, hapo wakamue matunda kwa wingi wa mavuno na neema.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek