×

Wakasema: Tumepoteza kopo la mfalme. Na ataye lileta atapewa shehena nzima ya 12:72 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yusuf ⮕ (12:72) ayat 72 in Swahili

12:72 Surah Yusuf ayat 72 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 72 - يُوسُف - Page - Juz 13

﴿قَالُواْ نَفۡقِدُ صُوَاعَ ٱلۡمَلِكِ وَلِمَن جَآءَ بِهِۦ حِمۡلُ بَعِيرٖ وَأَنَا۠ بِهِۦ زَعِيمٞ ﴾
[يُوسُف: 72]

Wakasema: Tumepoteza kopo la mfalme. Na ataye lileta atapewa shehena nzima ya ngamia. Nami ni dhaamini wa hayo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قالوا نفقد صواع الملك ولمن جاء به حمل بعير وأنا به زعيم, باللغة السواحيلية

﴿قالوا نفقد صواع الملك ولمن جاء به حمل بعير وأنا به زعيم﴾ [يُوسُف: 72]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Yule aliyeita na waliokuwana yeye walisema, «Tumekikosa kipimio ambacho mfalme anapimia nacho. Na zawadi za mwenye kukileta ni twesha ya ngamia mmoja ya chakula.» Na yule aliyeita akasema, «Na mimi naidhamini na kuitolea ahadi hiyo twesha ya ngamia ya chakula.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek