×

Wakasema: Wallahi! Mnajua vyema kwamba sisi hatukuja kufanya uharibifu katika nchi hii, 12:73 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yusuf ⮕ (12:73) ayat 73 in Swahili

12:73 Surah Yusuf ayat 73 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 73 - يُوسُف - Page - Juz 13

﴿قَالُواْ تَٱللَّهِ لَقَدۡ عَلِمۡتُم مَّا جِئۡنَا لِنُفۡسِدَ فِي ٱلۡأَرۡضِ وَمَا كُنَّا سَٰرِقِينَ ﴾
[يُوسُف: 73]

Wakasema: Wallahi! Mnajua vyema kwamba sisi hatukuja kufanya uharibifu katika nchi hii, wala sisi si wezi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قالوا تالله لقد علمتم ما جئنا لنفسد في الأرض وما كنا سارقين, باللغة السواحيلية

﴿قالوا تالله لقد علمتم ما جئنا لنفسد في الأرض وما كنا سارقين﴾ [يُوسُف: 73]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Ndugu zake Yūsuf wakasema, «Tunaapa kwa Mwenyezi Mungu, nyinyi mna uhakika kwa mliyoyashuhudia kutoka kwetu kwamba sisi hatukuja nchi ya Misri kufanya uharibifu, na si katika sifa zetu kuwa wezi.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek