Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 74 - يُوسُف - Page - Juz 13
﴿قَالُواْ فَمَا جَزَٰٓؤُهُۥٓ إِن كُنتُمۡ كَٰذِبِينَ ﴾
[يُوسُف: 74]
﴿قالوا فما جزاؤه إن كنتم كاذبين﴾ [يُوسُف: 74]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wale waliopewa jokumu la kukitafuta kipimio walisema kuwaambia ndugu zake Yūsuf, «Ni ipi adhabu ya mwizi kwenu nyinyi, iwapo nyinyi ni warongo katika kauli yenu: ‘sisi si wezi’?» |