×

Wakasema: Malipo yake ni yule ambaye ataonekana nalo yeye huyo ndiye malipo 12:75 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yusuf ⮕ (12:75) ayat 75 in Swahili

12:75 Surah Yusuf ayat 75 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 75 - يُوسُف - Page - Juz 13

﴿قَالُواْ جَزَٰٓؤُهُۥ مَن وُجِدَ فِي رَحۡلِهِۦ فَهُوَ جَزَٰٓؤُهُۥۚ كَذَٰلِكَ نَجۡزِي ٱلظَّٰلِمِينَ ﴾
[يُوسُف: 75]

Wakasema: Malipo yake ni yule ambaye ataonekana nalo yeye huyo ndiye malipo yake. Hivi ndivyo tunavyo walipa madhaalimu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قالوا جزاؤه من وجد في رحله فهو جزاؤه كذلك نجزي الظالمين, باللغة السواحيلية

﴿قالوا جزاؤه من وجد في رحله فهو جزاؤه كذلك نجزي الظالمين﴾ [يُوسُف: 75]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Ndugu zake Yūsuf wakasema, «Malipo ya mwizi ni kwamba yule ambaye kitapatikana kilichoibiwa kwenye mzigo wa ngamia wake basi yeye ndiye malipo yake.» Yaani atakabidhiwa, kwa sababu ya wizi wake, kwa yule aliyemuibia awe mtumwa kwake.»Malipo mfano huu, nayo ni ya kufanywa mtumwa, tunawalipa wenye kufanya dhuluma kwa kuiba. Hii ndiyo dini yetu na mwendo wetu kuhusu wezi.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek