Quran with Swahili translation - Surah Ar-Ra‘d ayat 21 - الرَّعد - Page - Juz 13
﴿وَٱلَّذِينَ يَصِلُونَ مَآ أَمَرَ ٱللَّهُ بِهِۦٓ أَن يُوصَلَ وَيَخۡشَوۡنَ رَبَّهُمۡ وَيَخَافُونَ سُوٓءَ ٱلۡحِسَابِ ﴾
[الرَّعد: 21]
﴿والذين يصلون ما أمر الله به أن يوصل ويخشون ربهم ويخافون سوء﴾ [الرَّعد: 21]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Nao ndio ambao wanawaunga wale ambao Mwenyezi Mungu Amewaamrisha wawaunge kama jamaa wa karibu na wahitaji, wanamtunza Mola wao na wanaogopa Asiwahesabu kwa madhambi yao yote na Asiwasamehe chochote katika hayo |