×

Na wanasema walio kufuru: Kwa nini hakuteremshiwa muujiza kutoka kwa Mola wake 13:27 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ar-Ra‘d ⮕ (13:27) ayat 27 in Swahili

13:27 Surah Ar-Ra‘d ayat 27 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ar-Ra‘d ayat 27 - الرَّعد - Page - Juz 13

﴿وَيَقُولُ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ لَوۡلَآ أُنزِلَ عَلَيۡهِ ءَايَةٞ مِّن رَّبِّهِۦۚ قُلۡ إِنَّ ٱللَّهَ يُضِلُّ مَن يَشَآءُ وَيَهۡدِيٓ إِلَيۡهِ مَنۡ أَنَابَ ﴾
[الرَّعد: 27]

Na wanasema walio kufuru: Kwa nini hakuteremshiwa muujiza kutoka kwa Mola wake Mlezi. Sema: Hakika Mwenyezi Mungu humwacha kupotea amtakaye, na humwongoa anaye elekea kwake

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ويقول الذين كفروا لولا أنـزل عليه آية من ربه قل إن الله, باللغة السواحيلية

﴿ويقول الذين كفروا لولا أنـزل عليه آية من ربه قل إن الله﴾ [الرَّعد: 27]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na makafiri wanasema kwa kushindana, «Si ateremshiwe Muhammad miujiza inayoonekena kama miujiza ya Mūsā na 'Īsā. Waambie kwamba Mwenyezi Mungu Anampoteza Anayemtaka miongoni mwa washindani wasiotaka uongofu na haimfai miujiza na Anawaongoza kwenye dini Yake ya haki anayerejea Kwake na kutaka radhi Zake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek