Quran with Swahili translation - Surah Ar-Ra‘d ayat 29 - الرَّعد - Page - Juz 13
﴿ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ طُوبَىٰ لَهُمۡ وَحُسۡنُ مَـَٔابٖ ﴾
[الرَّعد: 29]
﴿الذين آمنوا وعملوا الصالحات طوبى لهم وحسن مآب﴾ [الرَّعد: 29]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wale waliomuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na wakafanya matendo mema watakuwa na furaha, kipumbazi cha jicho, hali nzuri na marejeo mema kwenye Pepo ya Mwenyezi Mungu na radhi Zake |