Quran with Swahili translation - Surah Ar-Ra‘d ayat 39 - الرَّعد - Page - Juz 13
﴿يَمۡحُواْ ٱللَّهُ مَا يَشَآءُ وَيُثۡبِتُۖ وَعِندَهُۥٓ أُمُّ ٱلۡكِتَٰبِ ﴾
[الرَّعد: 39]
﴿يمحوا الله ما يشاء ويثبت وعنده أم الكتاب﴾ [الرَّعد: 39]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Anakifuta Akitakacho miongoni mwa hukumu na mengineyo, na Anakiacha kisalie Akitakacho miongoni mwa hizo kwa hekima fulani Anayoijua. Na Kwake kuna asili ya Kitabu, nacho ni Al-Lawh„ Al-Mah,fūd,: Ubao uliohifadhiwa ambao yamethibitishwa ndani yake kimaandishi hali za viumbe mpaka Siku ya Kiyama |