×

Na wakaomba ushindi, na akashindwa kila jabari mkaidi 14:15 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ibrahim ⮕ (14:15) ayat 15 in Swahili

14:15 Surah Ibrahim ayat 15 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ibrahim ayat 15 - إبراهِيم - Page - Juz 13

﴿وَٱسۡتَفۡتَحُواْ وَخَابَ كُلُّ جَبَّارٍ عَنِيدٖ ﴾
[إبراهِيم: 15]

Na wakaomba ushindi, na akashindwa kila jabari mkaidi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: واستفتحوا وخاب كل جبار عنيد, باللغة السواحيلية

﴿واستفتحوا وخاب كل جبار عنيد﴾ [إبراهِيم: 15]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mitume wakaelekea kwa Mola wao wakamuomba Awape ushindi juu ya maadui wao na Ahukumu baina yao, na Yeye Akawakubalia na Akamwangamiza kila mwenye kujiona asiyekubali haki, Asiyeiandama na Asiyetaka kumpwekesha Mwenyezi Mungu na kumtakasia ibada
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek