Quran with Swahili translation - Surah Ibrahim ayat 16 - إبراهِيم - Page - Juz 13
﴿مِّن وَرَآئِهِۦ جَهَنَّمُ وَيُسۡقَىٰ مِن مَّآءٖ صَدِيدٖ ﴾
[إبراهِيم: 16]
﴿من ورائه جهنم ويسقى من ماء صديد﴾ [إبراهِيم: 16]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mbele yake, huyu kafiri, patakuwa na Jahanamu, ataikuta na adhabu yake na atanyweshwa humo usaha na damu zinazotoka kwenye miili ya watu wa Motoni |