×

Na tutakuwekeni katika ardhi baada yao. Haya ni kwa anaye ogopa kusimamishwa 14:14 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ibrahim ⮕ (14:14) ayat 14 in Swahili

14:14 Surah Ibrahim ayat 14 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ibrahim ayat 14 - إبراهِيم - Page - Juz 13

﴿وَلَنُسۡكِنَنَّكُمُ ٱلۡأَرۡضَ مِنۢ بَعۡدِهِمۡۚ ذَٰلِكَ لِمَنۡ خَافَ مَقَامِي وَخَافَ وَعِيدِ ﴾
[إبراهِيم: 14]

Na tutakuwekeni katika ardhi baada yao. Haya ni kwa anaye ogopa kusimamishwa mbele yangu, na akaogopa maonyo yangu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولنسكننكم الأرض من بعدهم ذلك لمن خاف مقامي وخاف وعيد, باللغة السواحيلية

﴿ولنسكننكم الأرض من بعدهم ذلك لمن خاف مقامي وخاف وعيد﴾ [إبراهِيم: 14]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
«Na tutaufanya mwisho mwema uwe ni wa Mitume na wafuasi wao kwa kuwakalisha kwenye ardhi ya makafiri baada ya kuwaangamiza. Kuwaangamiza huko na kuwakalisha Waumini ardhi yao ni jambo la uhakika kwa anayeogopa kisimamo chake mbele yangu Siku ya Kiyama na akaoogopa unyo langu na adhabu yangu.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek