Quran with Swahili translation - Surah Ibrahim ayat 24 - إبراهِيم - Page - Juz 13
﴿أَلَمۡ تَرَ كَيۡفَ ضَرَبَ ٱللَّهُ مَثَلٗا كَلِمَةٗ طَيِّبَةٗ كَشَجَرَةٖ طَيِّبَةٍ أَصۡلُهَا ثَابِتٞ وَفَرۡعُهَا فِي ٱلسَّمَآءِ ﴾
[إبراهِيم: 24]
﴿ألم تر كيف ضرب الله مثلا كلمة طيبة كشجرة طيبة أصلها ثابت﴾ [إبراهِيم: 24]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwani huoni, ewe Mtume, namna gani Mwenyezi Mungu alivolipiga mfano neno la tawhīd «Lā ilahā illā Allāh» wa mti mkubwa, nao ni mtende, ambao shina lake limejikita imara ndani ya ardhi na kilele chake kiko juu kimeelekea mbiguni |