Quran with Swahili translation - Surah Ibrahim ayat 30 - إبراهِيم - Page - Juz 13
﴿وَجَعَلُواْ لِلَّهِ أَندَادٗا لِّيُضِلُّواْ عَن سَبِيلِهِۦۗ قُلۡ تَمَتَّعُواْ فَإِنَّ مَصِيرَكُمۡ إِلَى ٱلنَّارِ ﴾
[إبراهِيم: 30]
﴿وجعلوا لله أندادا ليضلوا عن سبيله قل تمتعوا فإن مصيركم إلى النار﴾ [إبراهِيم: 30]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hawa makafiri walimfanya Mwenyezi Mungu ana washirika ambao waliwaabudu pamoja na Yeye, ili wawaepushe watu na Dini Yake. Waambie, «Stareheni katika maisha ya ulimwengu, kwani hayo ni upesi kuondoka, na marejeo yenu na kurudi kwenu ni kwenye adhabu ya Jahanamu.» |