×

Na akakupeni kila mlicho muomba. Na mkihisabu neema za Mwenyezi Mungu hamwezi 14:34 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ibrahim ⮕ (14:34) ayat 34 in Swahili

14:34 Surah Ibrahim ayat 34 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ibrahim ayat 34 - إبراهِيم - Page - Juz 13

﴿وَءَاتَىٰكُم مِّن كُلِّ مَا سَأَلۡتُمُوهُۚ وَإِن تَعُدُّواْ نِعۡمَتَ ٱللَّهِ لَا تُحۡصُوهَآۗ إِنَّ ٱلۡإِنسَٰنَ لَظَلُومٞ كَفَّارٞ ﴾
[إبراهِيم: 34]

Na akakupeni kila mlicho muomba. Na mkihisabu neema za Mwenyezi Mungu hamwezi kuzidhibiti. Hakika mwanaadamu ni dhaalimu mkubwa, mwenye kuzikufuru neema

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وآتاكم من كل ما سألتموه وإن تعدوا نعمة الله لا تحصوها إن, باللغة السواحيلية

﴿وآتاكم من كل ما سألتموه وإن تعدوا نعمة الله لا تحصوها إن﴾ [إبراهِيم: 34]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Akawapa nyinyi kila mlichomuomba. Na mkihesabu ili kujua idadi ya neema za Mwenyezi Mungu juu yenu, hamtaweza kuzihesabu na kudhibiti idadi yake wala kusimama itakikanavyo kushukuru kwa hizo kwa wingi wake na aina zake. Hakika Binadamu ni mwingi wa kujidhulumu nafsi yake, ni mwingi wa kukanusha neema za Mola wake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek