Quran with Swahili translation - Surah Ibrahim ayat 43 - إبراهِيم - Page - Juz 13
﴿مُهۡطِعِينَ مُقۡنِعِي رُءُوسِهِمۡ لَا يَرۡتَدُّ إِلَيۡهِمۡ طَرۡفُهُمۡۖ وَأَفۡـِٔدَتُهُمۡ هَوَآءٞ ﴾
[إبراهِيم: 43]
﴿مهطعين مقنعي رءوسهم لا يرتد إليهم طرفهم وأفئدتهم هواء﴾ [إبراهِيم: 43]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Siku watakaosimama madhalimu kutoka makaburini mwao wakikimbilia kumwitika mlinganizi wakiinua vichwa vyao, hawaoni chote kwa kituko cha kisimamo, na hali nyoyo zao ni tupu hazina kitu ndani yake, kwa kicho kingi na kuogopa ktuko cha wanayoyaona |