Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 25 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿وَإِنَّ رَبَّكَ هُوَ يَحۡشُرُهُمۡۚ إِنَّهُۥ حَكِيمٌ عَلِيمٞ ﴾
[الحِجر: 25]
﴿وإن ربك هو يحشرهم إنه حكيم عليم﴾ [الحِجر: 25]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hakika Mola wako Ndiye Atakayewakusanya wao wahesabiwe na walipwe. Hakika Yeye ni Mwingi wa hekima katika uendeshaji Wake mambo, ni Mwingi wa ujuzi, hakuna kinachofichika Kwake |