Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 26 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿وَلَقَدۡ خَلَقۡنَا ٱلۡإِنسَٰنَ مِن صَلۡصَٰلٖ مِّنۡ حَمَإٖ مَّسۡنُونٖ ﴾
[الحِجر: 26]
﴿ولقد خلقنا الإنسان من صلصال من حمإ مسنون﴾ [الحِجر: 26]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwa hakika tulimuumba Ādam kwa udongo mkavu, ukigongwa unasikiwa sauti. Na udongo huu mkavu ni miongoni mwa udongo mweusi uliogeuka rangi yake na harufu yake kwa kipindi kirefu cha kukaa kwake |