Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 28 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿وَإِذۡ قَالَ رَبُّكَ لِلۡمَلَٰٓئِكَةِ إِنِّي خَٰلِقُۢ بَشَرٗا مِّن صَلۡصَٰلٖ مِّنۡ حَمَإٖ مَّسۡنُونٖ ﴾
[الحِجر: 28]
﴿وإذ قال ربك للملائكة إني خالق بشرا من صلصال من حمإ مسنون﴾ [الحِجر: 28]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kumbuka, ewe Mtume, pindi Mola wako Aliposema kuwaambia Malaika, «Mimi nitamuumba mtu kutokana na udongo mkavu. Na udongo huu mkavu unatokana na udongo mweusi uliogeuka rangi |