Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 9 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿إِنَّا نَحۡنُ نَزَّلۡنَا ٱلذِّكۡرَ وَإِنَّا لَهُۥ لَحَٰفِظُونَ ﴾
[الحِجر: 9]
﴿إنا نحن نـزلنا الذكر وإنا له لحافظون﴾ [الحِجر: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika sisi tumeiteremsha Qur’ani kwa Nabii Muhammad, rehema na amani zimshukiye, na hakika sisi tunachukua ahadi kuitunza isiongezwe, isipunguzwe wala sehemu yoyote katika hiyo isipotee |