Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 8 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿مَا نُنَزِّلُ ٱلۡمَلَٰٓئِكَةَ إِلَّا بِٱلۡحَقِّ وَمَا كَانُوٓاْ إِذٗا مُّنظَرِينَ ﴾
[الحِجر: 8]
﴿ما ننـزل الملائكة إلا بالحق وما كانوا إذا منظرين﴾ [الحِجر: 8]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Mwenyezi Mungu Akawajibu: Sisi hatuwateremshi Malaika isipokuwa kwa adhabu ambayo haina kucheleweshwa kwa asiyeamini na hawakuwa ni wenye kuachwa wakati Malaika watakapoteremka |