Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 109 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿لَا جَرَمَ أَنَّهُمۡ فِي ٱلۡأٓخِرَةِ هُمُ ٱلۡخَٰسِرُونَ ﴾
[النَّحل: 109]
﴿لا جرم أنهم في الآخرة هم الخاسرون﴾ [النَّحل: 109]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni kweli kabisa kwamba wao, huko Akhera, ndio wenye hasara wenye kuangamia, waliotumia maisha yao kwa mambo yaliyopelekea kuadhibiwa na kuangamizwa |