×

Kisha hakika Mola wako Mlezi, kwa wale walio hama makwao baada ya 16:110 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nahl ⮕ (16:110) ayat 110 in Swahili

16:110 Surah An-Nahl ayat 110 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 110 - النَّحل - Page - Juz 14

﴿ثُمَّ إِنَّ رَبَّكَ لِلَّذِينَ هَاجَرُواْ مِنۢ بَعۡدِ مَا فُتِنُواْ ثُمَّ جَٰهَدُواْ وَصَبَرُوٓاْ إِنَّ رَبَّكَ مِنۢ بَعۡدِهَا لَغَفُورٞ رَّحِيمٞ ﴾
[النَّحل: 110]

Kisha hakika Mola wako Mlezi, kwa wale walio hama makwao baada ya kuteswa, kisha wakapigania Dini na wakasubiri, bila ya shaka Mola wako Mlezi baada ya hayo ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ثم إن ربك للذين هاجروا من بعد ما فتنوا ثم جاهدوا وصبروا, باللغة السواحيلية

﴿ثم إن ربك للذين هاجروا من بعد ما فتنوا ثم جاهدوا وصبروا﴾ [النَّحل: 110]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Kisha Mola wako, kwa wale waliofanywa wanyonge ndani ya Makkah na wakaadhibiwa na washirikina mpaka wakakubali matendo yao kijuujuu, wakawafitini kwa kutamka yanayowaridhi, na hali nyoyo zao zimetulia katika Imani, na ilipowezekana kwao kujiokoa waligura kwenda Madina kisha wakapigana jihadi katika njia ya Mwenyezi Mungu na wakavumilia mashaka ya majukumu, hakika Mola wako , baada ya kutubia kwao ni Mwenye kuwasamehe , ni Mwenye kuwarehemu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek