Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 122 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿وَءَاتَيۡنَٰهُ فِي ٱلدُّنۡيَا حَسَنَةٗۖ وَإِنَّهُۥ فِي ٱلۡأٓخِرَةِ لَمِنَ ٱلصَّٰلِحِينَ ﴾
[النَّحل: 122]
﴿وآتيناه في الدنيا حسنة وإنه في الآخرة لمن الصالحين﴾ [النَّحل: 122]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tulimpa ulimwenguni neema nzuri ya kusifiwa na watu waliokuja nyuma yake, kufuatwa na kuwa na watoto wema. Na yeye, mbele ya Mwenyezi Mungu, huko Akhera, ni miongoni mwa watu wema wenye daraja za juu |