×

Na kaweka katika ardhi milima ili ardhi isiyumbe yumbe nanyi. Na mito, 16:15 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nahl ⮕ (16:15) ayat 15 in Swahili

16:15 Surah An-Nahl ayat 15 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 15 - النَّحل - Page - Juz 14

﴿وَأَلۡقَىٰ فِي ٱلۡأَرۡضِ رَوَٰسِيَ أَن تَمِيدَ بِكُمۡ وَأَنۡهَٰرٗا وَسُبُلٗا لَّعَلَّكُمۡ تَهۡتَدُونَ ﴾
[النَّحل: 15]

Na kaweka katika ardhi milima ili ardhi isiyumbe yumbe nanyi. Na mito, na njia ili mpate kuongoka

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وألقى في الأرض رواسي أن تميد بكم وأنهارا وسبلا لعلكم تهتدون, باللغة السواحيلية

﴿وألقى في الأرض رواسي أن تميد بكم وأنهارا وسبلا لعلكم تهتدون﴾ [النَّحل: 15]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Ameyakitisha kwenye ardhi majabali ya kuithibitisha ili isije ikawayumbisha nyinyi, na Ameiweka humo mito ili mpate kunywa maji yake, na Amefanya humo njia nyingi ili mpate kuongoka kwa njia hizo kuzifikia sehemu mnazozikusudia
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek