Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 46 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿أَوۡ يَأۡخُذَهُمۡ فِي تَقَلُّبِهِمۡ فَمَا هُم بِمُعۡجِزِينَ ﴾
[النَّحل: 46]
﴿أو يأخذهم في تقلبهم فما هم بمعجزين﴾ [النَّحل: 46]
Abdullah Muhammad Abu Bakr au adhabu haitawapata hali wakiwa wanazunguka kwenye safari zao na shughuli zao? Wao si wenye kumtangulia Mwenyezi Mungu wala kumponyoka wala kuokoka na adhabu Yake, kwani Yeye Ndiye Mwenye nguvu Ambaye hakuna chenye kumuelemea |