Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 47 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿أَوۡ يَأۡخُذَهُمۡ عَلَىٰ تَخَوُّفٖ فَإِنَّ رَبَّكُمۡ لَرَءُوفٞ رَّحِيمٌ ﴾
[النَّحل: 47]
﴿أو يأخذهم على تخوف فإن ربكم لرءوف رحيم﴾ [النَّحل: 47]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Au Mwenyezi Mungu Awapatilize kwa upungufu wa mali na watu na matunda au katika hali ya kuogopa kwao Asiwatie mkononi. Kwani Mola wenu ni Mpole kwa waja Wake, ni Mwenye huruma kwao |