×

Na neema yoyote mliyo nayo inatoka kwa Mwenyezi Mungu. Kisha yakikuguseni madhara 16:53 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nahl ⮕ (16:53) ayat 53 in Swahili

16:53 Surah An-Nahl ayat 53 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 53 - النَّحل - Page - Juz 14

﴿وَمَا بِكُم مِّن نِّعۡمَةٖ فَمِنَ ٱللَّهِۖ ثُمَّ إِذَا مَسَّكُمُ ٱلضُّرُّ فَإِلَيۡهِ تَجۡـَٔرُونَ ﴾
[النَّحل: 53]

Na neema yoyote mliyo nayo inatoka kwa Mwenyezi Mungu. Kisha yakikuguseni madhara mnamyayatikia Yeye

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وما بكم من نعمة فمن الله ثم إذا مسكم الضر فإليه تجأرون, باللغة السواحيلية

﴿وما بكم من نعمة فمن الله ثم إذا مسكم الضر فإليه تجأرون﴾ [النَّحل: 53]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na neema yoyote mliyonayo ya uongofu au afya ya mwili, ukunjufu wa riziki na watoto na yasiyokuwa hayo, inatoka kwa Mwenyezi Mungu Peke Yake, Yeye Ndiye Mwenye kuwaneemesha nayo. Kisha yanapowapata magonjwa, matatizo na ukame, basi ni kwa Mwenyezi Mungu Peke Yake mnalia kwa maombi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek