×

Musa akasema: Wewe unajua bila ya shaka kuwa haya hakuyateremsha ila Mola 17:102 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Isra’ ⮕ (17:102) ayat 102 in Swahili

17:102 Surah Al-Isra’ ayat 102 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 102 - الإسرَاء - Page - Juz 15

﴿قَالَ لَقَدۡ عَلِمۡتَ مَآ أَنزَلَ هَٰٓؤُلَآءِ إِلَّا رَبُّ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ بَصَآئِرَ وَإِنِّي لَأَظُنُّكَ يَٰفِرۡعَوۡنُ مَثۡبُورٗا ﴾
[الإسرَاء: 102]

Musa akasema: Wewe unajua bila ya shaka kuwa haya hakuyateremsha ila Mola Mlezi wa mbingu na ardhi ili kuwa ni ushahidi wa kuonekana. Na hakika mimi bila ya shaka nakuona wewe, Firauni, kuwa umekwisha angamia

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قال لقد علمت ما أنـزل هؤلاء إلا رب السموات والأرض بصائر وإني, باللغة السواحيلية

﴿قال لقد علمت ما أنـزل هؤلاء إلا رب السموات والأرض بصائر وإني﴾ [الإسرَاء: 102]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mūsā akamjibu, «Umeshajua kwa yakini, ewe Fir'awn, kwamba hakuiteremsha miujiza hiyo tisa yenye kuutolea ishahidi unabii wangu isipokuwa Mola wa mbingu na ardhi, ipate kuwa ni dalili ambazo wenye busara watazitumia kuonyesha upweke wa Mwenyezi Mungu Aliyetukuka katika uola Wake na uungu Wake, na mimi nina yakini kwamaba wewe, ewe Fir'awn, ni mwenye kuangamia, kulaaniwa na kushindwa.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek