Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 108 - الإسرَاء - Page - Juz 15
﴿وَيَقُولُونَ سُبۡحَٰنَ رَبِّنَآ إِن كَانَ وَعۡدُ رَبِّنَا لَمَفۡعُولٗا ﴾
[الإسرَاء: 108]
﴿ويقولون سبحان ربنا إن كان وعد ربنا لمفعولا﴾ [الإسرَاء: 108]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wanasema, hawa waliopewa ujuzi, wanapoisikia Qur’ani, «Kuepukana na kutakasika ni kwa Mola wetu na kila sifa wanazompa washirikina; halikuwa agizo la Mwenyezi Mungu Aliyetukuka isipokuwa ni lenye kutukia kikweli.» |