Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 109 - الإسرَاء - Page - Juz 15
﴿وَيَخِرُّونَ لِلۡأَذۡقَانِ يَبۡكُونَ وَيَزِيدُهُمۡ خُشُوعٗا۩ ﴾
[الإسرَاء: 109]
﴿ويخرون للأذقان يبكون ويزيدهم خشوعا﴾ [الإسرَاء: 109]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hapo hawa wanapomoka hali ya kusujudu kwa nyuso zao, huku wakilia kwa kuathirika na mawaidha ya Qur’ani. Na kule kuisikia Qur’ani na mawaidha yake kunawafanya wazidi kuinyenyekea amri ya Mwenyezi Mungu na kuunyenyekea uweza Wake mkubwa |