Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 3 - الإسرَاء - Page - Juz 15
﴿ذُرِّيَّةَ مَنۡ حَمَلۡنَا مَعَ نُوحٍۚ إِنَّهُۥ كَانَ عَبۡدٗا شَكُورٗا ﴾
[الإسرَاء: 3]
﴿ذرية من حملنا مع نوح إنه كان عبدا شكورا﴾ [الإسرَاء: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Enyi kizazi cha wale tuliowaokoa na tukawabeba pamoja na Nūḥ katika jahazi, msimshirikishe Mwenyezi Mungu katika kumuabudu, na kuweni ni wenye kushukuru neema Zake na ni wenye kumfuata Nūḥ, amani imshukiye, kwani yeye alikuwa ni mja mwenye kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa moyo wake, ulimi wake na viungo vyake |