×

Wala usiyafuate usiyo na ujuzi nayo. Hakika masikio, na macho, na moyo 17:36 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Isra’ ⮕ (17:36) ayat 36 in Swahili

17:36 Surah Al-Isra’ ayat 36 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 36 - الإسرَاء - Page - Juz 15

﴿وَلَا تَقۡفُ مَا لَيۡسَ لَكَ بِهِۦ عِلۡمٌۚ إِنَّ ٱلسَّمۡعَ وَٱلۡبَصَرَ وَٱلۡفُؤَادَ كُلُّ أُوْلَٰٓئِكَ كَانَ عَنۡهُ مَسۡـُٔولٗا ﴾
[الإسرَاء: 36]

Wala usiyafuate usiyo na ujuzi nayo. Hakika masikio, na macho, na moyo - hivyo vyote vitasailiwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولا تقف ما ليس لك به علم إن السمع والبصر والفؤاد كل, باللغة السواحيلية

﴿ولا تقف ما ليس لك به علم إن السمع والبصر والفؤاد كل﴾ [الإسرَاء: 36]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na usiyafuate, ewe binadamu, usiyoyajua, lakini hakikisha na uthibitishe. Hakika ya biadamu ni mwenye kuulizwa juu ya yale ambayo alitumia masikizi yake, maangalizi yake na moyo wake kuyafikia. Basi akivitumia vitu hivyo katika wema atapata malipo mema na akivitumia katika uovu atapata mateso
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek