Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 37 - الإسرَاء - Page - Juz 15
﴿وَلَا تَمۡشِ فِي ٱلۡأَرۡضِ مَرَحًاۖ إِنَّكَ لَن تَخۡرِقَ ٱلۡأَرۡضَ وَلَن تَبۡلُغَ ٱلۡجِبَالَ طُولٗا ﴾
[الإسرَاء: 37]
﴿ولا تمش في الأرض مرحا إنك لن تخرق الأرض ولن تبلغ الجبال﴾ [الإسرَاء: 37]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na usitembee ardhini kwa kujigamba na kujivuna, kwani wewe hutaipasua ardhi kwa kutembea juu yake kwa namna hiyo na hutaifikia milima katika urefu kwa kujigamba kwako, kujivuna kwako na kutakabari kwako |