×

Sema: Mwenyezi Mungu anajua zaidi muda walio kaa. Ni zake tu siri 18:26 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Kahf ⮕ (18:26) ayat 26 in Swahili

18:26 Surah Al-Kahf ayat 26 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 26 - الكَهف - Page - Juz 15

﴿قُلِ ٱللَّهُ أَعۡلَمُ بِمَا لَبِثُواْۖ لَهُۥ غَيۡبُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِۖ أَبۡصِرۡ بِهِۦ وَأَسۡمِعۡۚ مَا لَهُم مِّن دُونِهِۦ مِن وَلِيّٖ وَلَا يُشۡرِكُ فِي حُكۡمِهِۦٓ أَحَدٗا ﴾
[الكَهف: 26]

Sema: Mwenyezi Mungu anajua zaidi muda walio kaa. Ni zake tu siri za mbingu na ardhi. Kuona kulioje na kusikia kwake! Hawana mlinzi isipo kuwa Yeye, wala hamshirikishi yeyote katika hukumu yake

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قل الله أعلم بما لبثوا له غيب السموات والأرض أبصر به وأسمع, باللغة السواحيلية

﴿قل الله أعلم بما لبثوا له غيب السموات والأرض أبصر به وأسمع﴾ [الكَهف: 26]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na ukiulizwa, ewe Mtume, kuhusu muda wa kukaa kwao kwenye pango, na wewe huna ujuzi wa hilo na hukupata wahyi kutoka kwa Mwenyezi Mungu, basi usisongee mbele kwa lolote kuhusu jambo hilo, isipokuwa sema,»Mwenyezi Mungu Ndiye Mjuzi zaidi wa muda wa kukaa kwao. Ni wake Yeye ujuzi wa visivyoonekana vya mbinguni na ardhini, ni kuona kulioje Kwake na kusikia kulioje!» Yaani : uonee ajabu ukamilifu wa kuona Kwake na wa kusikia Kwake na wa kukizunguka Kwake kila kitu. Viumbe hawana yoyote mwingine isipokuwa Yeye wa kusimamia mambo yao, na Hana mshirika katika uamuzi Wake, hukumu Yake na sheria Zake, kutakata na sifa za upungufu ni Kwake na kutukuka ni Kwake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek