Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 38 - الكَهف - Page - Juz 15
﴿لَّٰكِنَّا۠ هُوَ ٱللَّهُ رَبِّي وَلَآ أُشۡرِكُ بِرَبِّيٓ أَحَدٗا ﴾
[الكَهف: 38]
﴿لكنا هو الله ربي ولا أشرك بربي أحدا﴾ [الكَهف: 38]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Lakini mimi sisemi maneno hayo yako yanayoonyesha ukafiri wako. Kwa kweli, mimi nasema ‘Mwenye kuneemesha na kufanya hisani ni Mwenyezi Mungu Mola wangu Peke Yake, na mimi simshrikishi yeye katika kumuabudu na yoyote asiyekuwa Yeye |