×

Huko ulinzi ni wa Mwenyezi Mungu wa Haki tu. Yeye ndiye mbora 18:44 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Kahf ⮕ (18:44) ayat 44 in Swahili

18:44 Surah Al-Kahf ayat 44 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 44 - الكَهف - Page - Juz 15

﴿هُنَالِكَ ٱلۡوَلَٰيَةُ لِلَّهِ ٱلۡحَقِّۚ هُوَ خَيۡرٞ ثَوَابٗا وَخَيۡرٌ عُقۡبٗا ﴾
[الكَهف: 44]

Huko ulinzi ni wa Mwenyezi Mungu wa Haki tu. Yeye ndiye mbora wa malipo, na mbora wa matokeo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: هنالك الولاية لله الحق هو خير ثوابا وخير عقبا, باللغة السواحيلية

﴿هنالك الولاية لله الحق هو خير ثوابا وخير عقبا﴾ [الكَهف: 44]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Katika shida kama hizi mategemeo na usaidizi huwa uko kwa Mwenyezi Mungu wa haki. Yeye ni bora wa kulipa mema na ni bora wa kuwapa mwisho mwema wale waliyoko hifadhini Mwake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek