×

Wala hakuwa nacho kikundi cha kumsaidia badala ya Mwenyezi Mungu, wala mwenyewe 18:43 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Kahf ⮕ (18:43) ayat 43 in Swahili

18:43 Surah Al-Kahf ayat 43 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 43 - الكَهف - Page - Juz 15

﴿وَلَمۡ تَكُن لَّهُۥ فِئَةٞ يَنصُرُونَهُۥ مِن دُونِ ٱللَّهِ وَمَا كَانَ مُنتَصِرًا ﴾
[الكَهف: 43]

Wala hakuwa nacho kikundi cha kumsaidia badala ya Mwenyezi Mungu, wala mwenyewe hakuweza kujisaidia

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولم تكن له فئة ينصرونه من دون الله وما كان منتصرا, باللغة السواحيلية

﴿ولم تكن له فئة ينصرونه من دون الله وما كان منتصرا﴾ [الكَهف: 43]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na hakuwa na kundi la watu, kati ya wale ambao alijifahiri nao, wenye kumtetea na adhabu ya Mwenyezi Mungu yenye kumshukia, wala hakuwa ni mwenye kujitetea kwa nafsi yake na nguvu zake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek