Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 54 - الكَهف - Page - Juz 15
﴿وَلَقَدۡ صَرَّفۡنَا فِي هَٰذَا ٱلۡقُرۡءَانِ لِلنَّاسِ مِن كُلِّ مَثَلٖۚ وَكَانَ ٱلۡإِنسَٰنُ أَكۡثَرَ شَيۡءٖ جَدَلٗا ﴾
[الكَهف: 54]
﴿ولقد صرفنا في هذا القرآن للناس من كل مثل وكان الإنسان أكثر﴾ [الكَهف: 54]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwa hakika tumeeleza na kufafanua katika hii Qur’ani aina nyingi ya mifano ili waaidhike na waamini. Na mwanadamu ni mwingi wa utesi na ubishi miongoni mwa viumbe |