×

Na wakhalifu watauona Moto na watajua ya kwamba wao lazima wataingia humo; 18:53 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Kahf ⮕ (18:53) ayat 53 in Swahili

18:53 Surah Al-Kahf ayat 53 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 53 - الكَهف - Page - Juz 15

﴿وَرَءَا ٱلۡمُجۡرِمُونَ ٱلنَّارَ فَظَنُّوٓاْ أَنَّهُم مُّوَاقِعُوهَا وَلَمۡ يَجِدُواْ عَنۡهَا مَصۡرِفٗا ﴾
[الكَهف: 53]

Na wakhalifu watauona Moto na watajua ya kwamba wao lazima wataingia humo; wala hawatapata pa kuuepuka

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ورأى المجرمون النار فظنوا أنهم مواقعوها ولم يجدوا عنها مصرفا, باللغة السواحيلية

﴿ورأى المجرمون النار فظنوا أنهم مواقعوها ولم يجدوا عنها مصرفا﴾ [الكَهف: 53]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na hao wahalifu wakaushuhudia Moto, na wakawa na yakini kwamba wao hapana budi ni wenye kuingia humo na wasipate njia yoyote ya kupitia ili kujiepusha nao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek