Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 83 - الكَهف - Page - Juz 16
﴿وَيَسۡـَٔلُونَكَ عَن ذِي ٱلۡقَرۡنَيۡنِۖ قُلۡ سَأَتۡلُواْ عَلَيۡكُم مِّنۡهُ ذِكۡرًا ﴾
[الكَهف: 83]
﴿ويسألونك عن ذي القرنين قل سأتلو عليكم منه ذكرا﴾ [الكَهف: 83]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hawa washiriikina wa watu wako wanakuuliza, ewe Mtume, kuhusu habari ya Dhulqarnain, mfalme aliye mwema, waambie, «Nitawapa habari kuhusu yeye ya kuwaachia kumbukumbu mupate kuikumbuka na kuizingatia.» |