Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 22 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿۞ فَحَمَلَتۡهُ فَٱنتَبَذَتۡ بِهِۦ مَكَانٗا قَصِيّٗا ﴾
[مَريَم: 22]
﴿فحملته فانتبذت به مكانا قصيا﴾ [مَريَم: 22]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Maryam akabeba mimba ya mtoto wa kiume baada ya Jibrili kupuliza kwenye mwanya wa kanzu yake, na pulizo hilo likafika kwenye uzao wake, na kwa sababu hiyo mimba ikaingia, na akaenda nayo mahali mbali na watu |