×

Na hakika Mwenyezi Mungu ni Mola wangu Mlezi, na Mola wenu Mlezi. 19:36 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Maryam ⮕ (19:36) ayat 36 in Swahili

19:36 Surah Maryam ayat 36 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 36 - مَريَم - Page - Juz 16

﴿وَإِنَّ ٱللَّهَ رَبِّي وَرَبُّكُمۡ فَٱعۡبُدُوهُۚ هَٰذَا صِرَٰطٞ مُّسۡتَقِيمٞ ﴾
[مَريَم: 36]

Na hakika Mwenyezi Mungu ni Mola wangu Mlezi, na Mola wenu Mlezi. Basi muabuduni Yeye. Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وإن الله ربي وربكم فاعبدوه هذا صراط مستقيم, باللغة السواحيلية

﴿وإن الله ربي وربكم فاعبدوه هذا صراط مستقيم﴾ [مَريَم: 36]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Īsā aliwaambia watu wake, «Na hakika ya Mwenyezi Mungu, Ambaye nawalingania nyinyi Kwake, ni Mola wangu na Mola wenu, basi muabuduni Yeye Peke Yake Asiye na mshirika, kwani mimi na nyinyi tuko sawa katika uja na kumnyenyekea Yeye. Hii ndio njia isiyo na kombo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek