×

Ewe baba yangu! Kwa yakini imenifikia ilimu isiyo kufikia wewe. Basi nifuate 19:43 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Maryam ⮕ (19:43) ayat 43 in Swahili

19:43 Surah Maryam ayat 43 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 43 - مَريَم - Page - Juz 16

﴿يَٰٓأَبَتِ إِنِّي قَدۡ جَآءَنِي مِنَ ٱلۡعِلۡمِ مَا لَمۡ يَأۡتِكَ فَٱتَّبِعۡنِيٓ أَهۡدِكَ صِرَٰطٗا سَوِيّٗا ﴾
[مَريَم: 43]

Ewe baba yangu! Kwa yakini imenifikia ilimu isiyo kufikia wewe. Basi nifuate mimi, nami nitakuongoza Njia Iliyo Sawa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ياأبت إني قد جاءني من العلم ما لم يأتك فاتبعني أهدك صراطا, باللغة السواحيلية

﴿ياأبت إني قد جاءني من العلم ما لم يأتك فاتبعني أهدك صراطا﴾ [مَريَم: 43]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
«Ewe baba yangu! Hakika Mwenyezi Mungu Amenipa ujuzi ambao hakukupa, basi nikubalie na unifuate kwa yale ninayokuitia kwayo, nikuongoze kwenye njia ya sawa ambayo hutapotea ukiifuata
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek