Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 44 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿يَٰٓأَبَتِ لَا تَعۡبُدِ ٱلشَّيۡطَٰنَۖ إِنَّ ٱلشَّيۡطَٰنَ كَانَ لِلرَّحۡمَٰنِ عَصِيّٗا ﴾
[مَريَم: 44]
﴿ياأبت لا تعبد الشيطان إن الشيطان كان للرحمن عصيا﴾ [مَريَم: 44]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Ewe baba yangu! Usimtii Shetani ukawaabudu hawa masanamu, kwani Shetani anaenda kinyume na Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema, anakuwa na kiburi kumtii Mwenyezi Mungu |