Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 47 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿قَالَ سَلَٰمٌ عَلَيۡكَۖ سَأَسۡتَغۡفِرُ لَكَ رَبِّيٓۖ إِنَّهُۥ كَانَ بِي حَفِيّٗا ﴾
[مَريَم: 47]
﴿قال سلام عليك سأستغفر لك ربي إنه كان بي حفيا﴾ [مَريَم: 47]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ibrāhīm alisema kumwambia baba yake, «Amani juu yako kutoka kwangu, halitakufikia kutoka kwangu jambo unalolichukia, na nitakuombea Mwenyezi Mungu uongofu na msamaha. Hakika Mola wangu ni Mwingi wa huruma ni Mpole kwangu kulingana na hali yangu, nikimuomba Ataniitikia |