×

Lakini wakaja baada yao walio wabaya, wakaacha Sala, na wakafuata matamanio. Basi 19:59 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Maryam ⮕ (19:59) ayat 59 in Swahili

19:59 Surah Maryam ayat 59 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 59 - مَريَم - Page - Juz 16

﴿۞ فَخَلَفَ مِنۢ بَعۡدِهِمۡ خَلۡفٌ أَضَاعُواْ ٱلصَّلَوٰةَ وَٱتَّبَعُواْ ٱلشَّهَوَٰتِۖ فَسَوۡفَ يَلۡقَوۡنَ غَيًّا ﴾
[مَريَم: 59]

Lakini wakaja baada yao walio wabaya, wakaacha Sala, na wakafuata matamanio. Basi watakuja kuta malipo ya ubaya

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فخلف من بعدهم خلف أضاعوا الصلاة واتبعوا الشهوات فسوف يلقون غيا, باللغة السواحيلية

﴿فخلف من بعدهم خلف أضاعوا الصلاة واتبعوا الشهوات فسوف يلقون غيا﴾ [مَريَم: 59]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Wakaja, baada ya hawa walioneemeshwa, wafuasi wabaya, waliacha Swala kabisa au waliitoa nje ya wakati wake au waliacha nguzo zake na mambo yake ya lazima na wakafuata yanayolingana na kunasibiana na matamanio yao. Basi hao watapata shari na upotevu na kupita patupu ndani ya Jahanamu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek