×

Humo hawatasikia upuuzi, ila Salama tu. Na watapata humo riziki zao asubuhi 19:62 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Maryam ⮕ (19:62) ayat 62 in Swahili

19:62 Surah Maryam ayat 62 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 62 - مَريَم - Page - Juz 16

﴿لَّا يَسۡمَعُونَ فِيهَا لَغۡوًا إِلَّا سَلَٰمٗاۖ وَلَهُمۡ رِزۡقُهُمۡ فِيهَا بُكۡرَةٗ وَعَشِيّٗا ﴾
[مَريَم: 62]

Humo hawatasikia upuuzi, ila Salama tu. Na watapata humo riziki zao asubuhi na jioni

❮ Previous Next ❯

ترجمة: لا يسمعون فيها لغوا إلا سلاما ولهم رزقهم فيها بكرة وعشيا, باللغة السواحيلية

﴿لا يسمعون فيها لغوا إلا سلاما ولهم رزقهم فيها بكرة وعشيا﴾ [مَريَم: 62]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Watu wa Peponi hawatasikia maneno ya batili humo, lakini watasikia ‘salamu’ ikiwa ndio maamkizi yao. Na watapata riziki yao humo ya chakula na kinywaji daima, kila wanapotaka, asubuhi na jioni, haina kiasi wala hadi maalumu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek